Screenshots
What's New in the Latest Version?
Version 2.2.0 (Updated: 2026-03-06)
Description
关于Fuga
用于运营、库存和分析管理的一体化家禽养殖场应用程序。
Fuga ni App ya usimamizi wa kuku kwa wafugaji kote Tanzania na Afrika – haijalishi ukubwa wa shamba lako。
Ikiwa unafuga kuku 100 au 10,000、Fuga inakusaidia kupanga shughuli zako、kupunguza hasara、na kukuzabiashara Yanye faida zaidi。
✅ 维彭格勒维库:
? Ufuatiliaji wa Gharama na Mauzo – Fuatilia mapato na matumizi kwa wakati halisi
? Usimamizi wa Mifugo – Rekodi idadi ya kuku, vifo na mauzo kwa urahisi
? Kikokotoo cha Gharama za Kuanza – Jua unahitaji kiasi gani kuanza au kupanua mradi wako
? Kumbukumbu na Ratiba Usikose chanjo、lishe、au ratiba ya mwanga
? Usimamizi wa Stoo – Fuatilia matumizi ya chakula na kiasi kilichobaki
? Taarifa na Vidokezo Mahiri – Pata tahadhari na ushauri wa kuboresha utendaji wa尚巴拉科
Na vipengele vingine vingi vya kuvutia…
Kwa kutumia Fuga、usimamizi wa shamba la kuku unakuwa rahisi、wa kisasa、na wenye faida zaidi – iwe unaanza tu au tayari unapanua mradi wako。
? Pakua Fuga sasa na chukua usukani wabiashara yako ya kuku!
Fuga 是一款一体化家禽管理应用程序,专为坦桑尼亚和非洲的养鸡户打造,无论您饲养 100 只还是 10,000 只鸡。它可以帮助您跟踪费用和销售、管理羊群、计算启动成本、设置疫苗接种和喂养提醒、监控饲料库存以及接收智能警报以提高农场绩效。有了 Fuga,管理您的家禽业务变得更简单、更高效、利润更高。立即下载并控制您的农场。